Jumapili, 18 Septemba 2016

FIRE AND RESCUE FORCE MBEYA: Timu ya jeshi zimamoto mkoa wa mbeya yashiriki mic...

FIRE AND RESCUE FORCE MBEYA: Timu ya jeshi zimamoto mkoa wa mbeya yashiriki mic...: Timu ya jeshi zimamoto mkoa wa mbeya yashiriki michezo mbalimbali zidii ya timu ya jeshi la wananchi 44kj mbalizi.mchezo uliodhuruwa na waku...
Timu ya jeshi zimamoto mkoa wa mbeya yashiriki michezo mbalimbali zidii ya timu ya jeshi la wananchi 44kj mbalizi.mchezo uliodhuruwa na wakuu wa vikosi vyote vya jeshi la zimamoto FRF na jwtz.ikiwa ni jitihada za kuimarisha umoja wa vyombo vya ulinzi wa mkoa wa mbeya
kikosi cha zimamoto mkoa wa mbeya kikiwa tayari kwa mpambano kikiongozwa na assintant insepector Nyarusi na msaidizii wake  assintant inspector Pati.
Timu ya zimamoto mkoa wa mbeya ikiwa inapasha misuli ilikukabiliana na timu ngumu ya 44jwtz katika bonanza la michezo ambapo timu ya 44jwtz iliibuka mshindi[44jwt 2-[0]FrF
mwamuzii wa mchezo akitoa maelezo kabla ya mchezo
golikipa wa timu ya zimamoto mkoa wa mbeya FC Rahim adamson(maarufu NGINGI ).akiwa tayari kwa mchezo huo mkali.
Imeletwa kwenu na kitengo cha habari 'JESHI LA ZIMAMOTO MBEYA      
KWA MATUKIO MBALIMBALI YA MOTO MAJANGA YA AJALI 
PIGA SIMU No 114.(Fc oscar watson mswima )
I


Alhamisi, 8 Septemba 2016

UCHANGIAJI WA DAMU KUOKOA MAISHA

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania inaungana na watu wengine kushiriki katika kampeni ya uchangiaji Damu wa hiari kwani Uchangiaji wa Damu ni Zawadi ya maisha.
NANI ANASTAHILI KUCHANGIA DAMU:-
  • Mtu yeyote mwenye umri kati ya 18 hadi 65.
  • Mwenye uzito usiopungua kilo 65
  • Awe na Afya Njema.
FAIDA ZA KUCHANGIA DAMU:
Kuchangia Damu ni Kuokoa maisha ya Mtu mmoja au zaidi,na hii ni Zawadi kubwa ambayo binadamu anaweza kuumpa binadamu mwenzie.
    Imeelezwa kuwa kuchangia Damu mwanamke anaweza kuchangia mara tatu(03) kwa Mwaka na mwanaume anaweza kuchangia mara nne(04) kwa Mwaka.
Kwa kawaida mwili wa mwanadamu una damu galoni tano(05) hadi saba(07), na kwa kawaida unapochangia Damu kiasi cha Mililita 450 kinachotolewa.Mchangiaji hubaki na kiasi cha kutosha cha Damu hakuna haja ya kuwa na hofu.
MUHIMU:
                 Mtu yeyote mwenya magonjwa ya kurith haruhusiwi kuchangia damu.
Jeshi la zimamoto Mkoa wa mbeya latoa rai kwa wananchi kuitumia namba ya 114 kwa faida ya jamii na si vingenevyo,Alikaririwa kamanda wa Mkoa(RFO) AUGUSTINO MWANDOFU wa Mkoa mbeya akiwambia wananchi katika kikao na wafanyabiashara  Mkoa wa mbeya